1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni 19.08.2017

Yusra Buwayhid
19 Agosti 2017

Kundi lilofanya mashambulizi Uhispania limesambaratishwa. Umoja wa Mataifa waonya Yemen yakabiliwa na majanga ya vita, kipindupindu na njaa. Pembe za ndovu kilo 368 zakamatwa jijini Dar es Salaam.

https://p.dw.com/p/2iVcx