Mashindano ya Ngalawa ni moja ya mashindano yaliobeba utamaduni wa watu wa pwani, utamaduni huu wa kushindana pia ni sehemu ya burudani kwa watu wa mwambao, hufanyika mashindano haya pale endapo jamii inahitaji kukusanyika au kusheherekea jambo fulani. Vidio na Yakub Talib #kurunzi