1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Timu za Tanzania na DR Kongo zikiwa mazoezini

Sudi Mnette
24 Januari 2024

Taifa Stars ina kibarua kigumu cha mwisho katika mchuano wa kundi, F ikipigania ushindi kwa nguvu kubwa ili iweze kuandika rekodi mpya ya kuingia hatua ya 16 bora katika mashindano ya Afcon ya Abidjan.

https://p.dw.com/p/4bcgo