You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Iran
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Martin Schulz
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Steinmeier achaguliwa rais wa Ujerumani kwa muhula wa pili
Rais huyo aliekutwa anatetea nafasi yake amechaguliwa kwa asilimia 77 ya kura mjini Berlin.
Ujerumani kumchagua rais wake kupitia baraza maalum
Ujerumani Jumapili itamchagua rais wake, huku rais wa sasa Frank-Walter Steinmeier, akitazamiwa kuchaguliwa tena.
Marekani: Urusi inaweza kuivamia Ukraine muda wowote
Marekani imeonya Urusi inaweza kuivamia Ukraine muda wowote na uvamizi huo unaweza kuanza kwa mashambulizi ya anga.
Urusi na Belarus zaanza luteka ya pamoja ya kijeshi
Urusi na Belarus zaanza luteka ya pamoja ya kijeshi
Ukraine yaelezea matumaini ya suluhu katika mvutano na Urusi
Ukraine yaelezea matumaini ya suluhu katika mvutano na Urusi
Ujerumani, Ufaransa na Poland zaazimia kuepusha vita Ulaya
Ujerumani, Ufaransa na Poland zaungana kuhakikisha kuwa mgogoro wa Ukraine hausababishi vita barani Ulaya.
Kansela wa Ujerumani Scholz kukutana na Biden Washington
Ukraine imeamua kutotilia maanani sana hofu ya uvamizi huku Marekani ikionya uvamizi huo unaweza kufanyika siku yoyote.
Ukraine yaiomba Ujerumani silaha za kujilinda dhidi ya Urusi
Ukraine inaitaka Ujerumani ibadili msimamo wake na imetuma orodha za mifumo ya silaha inayotaka ipatiwe.
EU yaishutumu Urusi kwa kufunga ofisi ya DW nchini mwake
Umoja wa Ulaya umeulaani uamuzi wa Urusi kufunga ofisi za shirika la utangazaji la Ujerumani, Deutsche Welle.
Urusi yawapokonya vibali waandishi habari wa DW Moscow
Urusi imeondoa vibali vya kazi kwa waandishi habari na wafanya kazi wa shirika la utangazaji la DW nchini mwake
Urusi yaifungia DW kulipiza kisasi dhidi ya Ujerumani
Urusi yaifungia DW kulipiza kisasi dhidi ya Ujerumani
Dunia yaadhimisha mauaji ya halaiki ya Holocaust
Wahanga wa mauaji ya halaiki ya Holocaust na wanasiasa wametahadharisha kuhusiana na ongezeko la chuki dhidi ya Wayahudi
Ujerumani bado ina kazi kubwa ya kupambana na Ufisadi
Ujerumani bado ina kazi kubwa ya kupambana na Ufisadi
Marekani yawaweka wanajeshi 8,500 tayari, mzozo wa Ukraine
Wizara ya Ulinzi ya Marekani imewaamuru wanajeshi 8,500 kuwa tayari kwa uwezekano wa kupelekwa Ulaya kujiunga na NATO.
Mkuu wa jeshi la majini Ujerumani ajiuzulu
Mkuu wa jeshi la wanamaji nchini Ujerumani ajiuzulu baada ya kutoa matamshi yenye utata kuhusu mzozo wa Ukraine.
Afrika katika Magazeti ya Ujerumani
Magazeti ya Ujerumani pia yameandika juu ya ndege ya jeshi la Ujerumani iliyonyimwa ruhusa ya kupita kwenye anga ya Mali
Blinken: Urusi ikithubutu kuingia Ukraine itakabiliwa
Umoja wa Ulaya umetishia kuiwekea Urusi vikwazo vikubwa vya kiuchumi iwapo itaivamia Ukraine naye waziri wa mambo ya nje
Benedict XVI alaumiwa kwa unyanyasaji wa watoto
Benedict XVI alaumiwa kwa unyanyasaji wa watoto
Ujerumani: Urusi italipa ikichukua hatua kuivamia Ukraine
Ujerumani: Urusi italipa ikichukua hatua kuivamia Ukraine
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Wanasiasa nchini Ujerumani wanataka wanajeshi wao waendelee kuwapo nchini Mali.
Afisa wa kijasusi Syria ahukumiwa kifungo cha maisha jela
Mahakama ya Koblenz, Ujerumani imemuhukumu afisa wa zamani wa Syria adhabu ya kifungo cha maisha gerezani.
Ujerumani: Watu 80,430 waambukizwa corona katika saa 24
Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier atoa mwito wa kuchunguzwa kwa kina mjadala juu ya mipango ya chanjo ya lazima
Ujerumani yakaza sheria za COVID-19 kwenye mabaa na migahawa
Wateja kwenye mabaa na migahawa nchini Ujerumani sasa watalazimika kuthibitisha kuwa wamepata dozi ya tatu ya chanjo.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini alikabibidhiwa hati ya uchunguzi juu ya ufisadi wa wakati wa utawala wa Zuma.
Rais Steinmeier aungwa mkono na chama kikuu cha upinzani
Hatua hiyo inamfungulia njia ya ushindi mkubwa Steinmeier aliyewahi kuwa mwanachama wa muda mrefu wa chama cha SPD.
Waziri wa mambo ya nje Ujerumani aanza ziara Marekani
Waziri wa mambo ya nje Ujerumani aanza ziara Marekani
Ujerumani yalegeza vikwazo vya usafiri kwa nchi tisa
Marekani wanafunzi wacheleshwa kurudi madarasani kwa sabababu ya corona na Rais wa Msumbiji na mkewe waugua COVID-19.
Kansela Scholz ahimiza umoja katika salaam za mwaka mpya
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz ametoa hotuba yake ya kwanza ya kukaribisha mwaka kwa taifa tangu kuingia madarakani.
Wajerumani wazidi kupinga vizuizi vya COVID-19
Kirusi cha omicron kimeendelea kuchochea maambukizi mapya kote ulimwenguni wakati mataifa yakihangaika kupambana nacho.
Ujerumani itaanzisha sheria ya kudhibiti uuzaji silaha
Serikali mpya ya mseto itaanzisha sheria mpya ya kudhibiti uuzaji wa silaha nje ya nchi.
Ufaransa:Watu zaidi ya 100,000 waambukizwa virusi vya corona
Ulimwengu wahofia kuongezeka kwa virusi vya omicron vinavyoenea kwa haraka.
Ujerumani yaweka kanuni mpya za kuzuia maambukizi ya corona
Meya wa Jiji la New York atangaza motisha ya dola 100 kwa wakazi watakaopata chanjo ya nyongeza dhidi ya COVID-19.
EU: Yarejesha vikwazo kwa Urusi kwa kuichokoza Ukraine
EU: yaendelea kuiwekea Urusi vikwazo kwa kuichokoza Ukraine
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Gazeti la die tageszeitung linasema watawala wa kijeshi nchini Mali sasa wakabiliwa na mtihani mgumu.
Scholz ayaainisha malengo yake bungeni kama kansela
Scholza ahimiza utoaji chanjo kwa kila mtu Ujerumani.
Rais Ramaphosa akutwa na COVID-19
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa anapatiwa matibabu baada ya kuambukizwa ugonjwa wa COVID-19.
Olaf Scholz atoa zingatio Ulaya katika ziara yake ya kwanza
Kansela Olaf Scholz atoa zingatio kwa Ulaya katika ziara yake ya kwanza
Serikali mpya ya Olaf Scholz yaapishwa nchini Ujerumani
Serikali mpya ya Olaf Scholz yaapishwa nchini Ujerumani
Olaf Scholz aapishwa kuwa Kansela wa Ujerumani
Olaf Scholz aapishwa kama Kansela wa Ujerumani
Olaf Scholz aidhinishwa kuwa Kansela wa Ujerumani
Olaf Scholz aidhinishwa na bunge kuwa Kansela wa Ujerumani
Scholz ateua Baraza Jipya la Mawaziri Ujerumani
Olaf SCholz ameteua baraza jipya la mawaziri huku akizingatia zaidi usawa wa kijinsia
FDP yaidhinisha makubaliano ya serikali ya muungano
FDP yaidhinisha makubaliano ya serikali ya muungano
Wasiochanjwa Ujerumani kuzuiwa baadhi ya huduma muhimu
Wasiochanjwa Ujerumani kuzuiwa baadhi ya huduma muhimu
Vizingiti vipya kwa wasiochanjwa nchini Ujerumani
Ni waliochanjwa tu au waliokwisha ugua COVID-19 na kupona ndio watakaoruhusiwa kuingia kwenye baadhi ya maduka.
Angela Merkel atajishughulisha na nini baada ya kustaafu?
Kansela Angela Merkel anastaafu na swali kubwa ni, je atafanya nini baada ya kuondoka ofisini?
Ujerumani, Uingereza na Italia zathibitisha visa vya Omicron
Ujerumani, Uingereza na Italia zathibitisha visa vya Omicron
Ndege za Qatar zawapiga marufuku abiria kutoka Afrika Kusini
Qatar imechukua hatua hiyo kutokana na kuenea kwa virusi vipya vya corona vilivyogunduliwa kwanza nchini Afrika Kusini.
Ujerumani: Watu zaidi ya 100,000 wafa kutokana na COVID-19
Huenda hatua za karantini zikawekwa tena nchini Ujerumani kutokana na kuongezea kwa maambukizi ya corona,
Vyama vya Ujerumani vyakubaliana kuunda serikali mpya
Ujerumani itakuwa na serikali mpya kabla ya Krismasi baada ya vyama vitatu kusaini makubaliano ya serikali ya mseto.
Poland yaufananisha mzozo wa wahamiaji na vita baridi
Poland inadai Lukashenko anapata uungwaji mkono wa Rais wa Urusi
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 20 wa 54
Ukurasa unaofuatia