Mapigano Makali yatokea Kivu ya Kaskazini,Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo28.04.200828 Aprili 2008Kumetokea mapigano makali kati ya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na waasi wa Rwanda wa SDLR.https://p.dw.com/p/DqFiWanajeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya KongoPicha: APMatangazo Mapigano hayo yametokea katika kijiji cha Kamandi wilayani Lubero kwenye mkoa wa Kivu ya Kaskazini. Mwandishi wetu John Kanyunyu anaarifu zaidi.