1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni: Papa Leo XIV ahimiza amani

Josephat Charo
4 Desemba 2025

Kiongozi mkuu wa kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV Jumanne Desemba 2 alitoa "wito wa dhati" wa amani nchini Lebanon alipokamilisha ziara yake ya kwanza nje ya makao makuu ya kanisa Katoliki huko Vatican.Je, ziara ya papa inatoa muamko gani katika kushajiisha amani ya Mashariki ya Kati na amani ya dunia? Jiunge na Josephat Charo katika kipindi cha Maoni.

https://p.dw.com/p/54nJE