Manuel Noriega: Kifo cha dikteta | Mada zote | DW | 30.05.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Manuel Noriega: Kifo cha dikteta

Askari wa zamani, raia wa Panama aliyetawala kimabavu Manuel Noriega amefariki hospitalini akiwa na miaka 83. DW inaangazia kuibuka kisiasa kwa mwanajeshi huyo aliyewahi kuwa mshirika wa Marekani pamoja na kuanguka kwake