1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Panama

Ni nchi inayokutikana kwenye njiapanda za mabara ya Amerika Kaskazini na Kusini, pamoja na bahari za Atlantik na Pacific na yenye umuhimu mkubwa wa kimkakati.

Hii iliifanya kuwa shabaha ya uingiliaji wa Marekani, ambayo mwaka 1986 iliivamia Panama kumuondoa mshirika wa zamani Manuel Noriega, na hadi mwaka 1999 iliidhibiti njia ya bahari ya Panama. Ukursasa huu utakueletea maudhui za DW kuhusu Panama.

Onesha makala zaidi