Makubaliano ya kuwarudisha watuhumiwa wa mauaji ya halaiki ya Rwanda 1994 yatiwa saini baina ya Rwanda na Kenya
30 Septemba 2009Matangazo
Uamuzi huo umefikiwa wakati ambapo
mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita kwa ajili ya Rwanda
ICTR iliyoko mjini Arusha,Tanzania inajiandaa kuzikamilisha shughuli
zake ifikapo mwishoni mwa mwaka huu.Mataifa mengine ya
Burundi,Zambia na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo bado
yanaendelea na majadiliano ya kufikia mkataba wa aina hii.Mkataba
wenyewe utaanza kutekelezwa baada ya siku sitini.Mwandishi wetu
wa Kigali Daniel Gakuba alihudhuria shughuli hiyo na ameandaa
taarifa ifuatayo:
Mwandishi: Daniel Gakuba
Mhariri: Othman Miraji