Mahojiano na Seif Shariff Hamad baada ya kutangazwa matokeo ya uchaguzi Zanzibar | Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili | DW | 03.11.2010
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Timu Yetu

Mahojiano na Seif Shariff Hamad baada ya kutangazwa matokeo ya uchaguzi Zanzibar

Seif Shariff Hamad akosa tena urais wa Zanzibar.

default

Mtetezi wa chama cha CCM visiwani Zanzibar kwa urais wa visiwa hivyo, Dk.Ali Mohamed Shein, amepata ushindi wa asilimia 50.1 ya kura. Mpinzani wake kutoka chama cha CUF, Maalim Seif Shariff Hamad, amepata asilimia 49.1 ya kura.

Othman Miraji amefanya mahojiano na Seif Shariff Hamad.

Mhariri: Othman Miraji

Mpitiaji: Oummilkheir Hamidou

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com