Mahojiano na Bibi Alice Nzomukunda wa chama cha upinzani Burundi | Matukio ya Kisiasa | DW | 01.03.2010
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Mahojiano na Bibi Alice Nzomukunda wa chama cha upinzani Burundi

Siasa nchini Burundi imepata msisimko mkubwa mnamo siku za hivi karibuni. Bi Alice Nzomukunda tayari amechaguliwa na chama chake cha Democratic Alliance for Renewal, ARD, kama kinara.

Wananchi wa Burundi wataingia katika uchaguzi mwezi Juni,2010

Wananchi wa Burundi wataingia katika uchaguzi mwezi Juni,2010

Peter Moss alizungumza na Bibi Nzomukunda na alianza kwa kumuuliza hisia zake na mazingira ya sasa nchini humo, ikizingatiwa kwamba ameamua kujitosa uwanjani kuwania urais katika uchaguzi wa mwezi Juni.

Mwandishi: Peter Moss

Mhariri: Othman Miraji

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com