Mahakama Arusha yatupilia mbali kesi ya ukomo wa miaka ya urais Uganda | Matukio ya Afrika | DW | 30.09.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Mahakama Arusha yatupilia mbali kesi ya ukomo wa miaka ya urais Uganda

Mahakama ya Afrika Mashariki imetupilia mbali pingamizi la mwanasheria Male Mabirizi wa Uganda aliyefungua shauri la kupinga maamuzi ya mahakama ya katiba nchi humo yaliyoondoa kikomo cha umri wa kugombea urais. Mahakama hiyo imesema mchakato wa mabadiliko hayo haukukiuka maadili ya majaji.

Sikiliza sauti 02:29