SiasaVenezuelaMaandamano yafanyika kuikosoa Marekani To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaVenezuela09.01.20269 Januari 2026Makundi ya watu yamejitokeza kwenye miji mbalimbali duniani kuikosoa Marekani kwa hatua yake ya kumkamata kwa mabavu Rais Nicolas Maduro wa Venezuela na kisha kumsafirisha haraka kwenda Marekani kumfungulia mashtaka. https://p.dw.com/p/56NuyMatangazo