1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kutana na vijana wanaowaelekeza watalii Tanzania

Natalis Veronica25 Oktoba 2021

Kipindi cha Vijana Tugutuke safari hii kimepiga kambi katika mbuga ya wanyama ya Serengeti nchini Tanzania kikiwashirikisha vijana wanaochuma riziki kutokana na kazi zao za kuwaongoza watalii. Je msukumo wao unatokana na nini? Changamoto zipi wanazopitia? Kazi yenyewe ina tija kwa kiwango gani? Kwa hayo na mengine mengi ungana na Veronica Natalis ambaye ndiye nahodha wa kipindi kwa siku ya leo.

https://p.dw.com/p/429uu