1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Serengeti

Mfumo wa ekolojia wa Serengeti ni eneo la kijiografia barani Afrika.Linakutikana hasa kaskazini mwa Tanzania na linapanuka hadi kusini-magharibi mwa Kenya. Upande wa Kenya wa Serengeti unajulikana kama Maasai Mara.

Katika lugha ya kimaasai, Serenegeti inamaanisha ‘ukanda usiyo na ukomo’ Nyika hiyo ya Afrika Mashariki ni eneo la uhamiaji mkubwa zaidi wa wanyama duniani. Zaidi ya nyumbu milioni moja, maelfu ya swala na pundamilia husafiri maelfu ya kilomita kupitia ukanda wa savana, wakifuatwa na simba, chui na fisi. Ni mzunguko wa milele wa kufa na kupona.

Onesha makala zaidi