1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania na mbinu ya kuwapatia wanyamapori majina

Veronica Natalis
23 Agosti 2023

Mamlaka za hifadhi Tanzania TANAPA imeanzisha mbinu mpya ya kuwapa majina wanyamapori kwa kulipia pesa kwa lengo la kuwalinda Wanyama hao na kuendelea kutangaza utalii wa Taifa hilo kuwa Afrika Mashariki. Veronica Natalis anasimulia zaidi katika makala yetu leo.

https://p.dw.com/p/4VU0w