1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mto Mara muhimu kwa viumbe hai katika mbuga ya Serengeti

22 Septemba 2023

Ingawa mto huu unaelezwa kutowahi kauka toka kujulikana kwake, kwa sasa kumekuwa na matumizi makubwa na hatari ya shughuli za kibinadamu pamoja na mabadiliko ya tabianchi, hali ambayo inaibuwa hofu kwa walinzi wa mazingira nchini Tanzania.

https://p.dw.com/p/4WhGq