Korea Kaskazini yasema haitishwi na Marekani kijeshi | Anza | DW | 11.04.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Korea Kaskazini yasema haitishwi na Marekani kijeshi

Korea Kaskazini yaiambia Marekani, 'Tuko tayari kwa vita', rais wa zamani wa Afrika Kusini Thabo Mbeki yawataka wabunge wa ANC waweke maslahi ya taifa mbele katika kura ya kutokuwa na imani na Rais Jacob Zuma, mawaziri wa nchi za G7 waendelea na mkutano wao nchini Italia...hayo na mengine, ni katika Papo kwa Papo ya Aprili 11, 2017.

Tazama vidio 02:00