Kiongozi wa kikundi cha Mungiki nchini Kenya aachiwa huru | Matukio ya Kisiasa | DW | 26.10.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Kiongozi wa kikundi cha Mungiki nchini Kenya aachiwa huru

Kiongozi wa kundi la Mungiki, Maina Njenga, kundi linalodaiwa kufanya mauaji na machafuko kadhaa nchini Kenya ameachiwa huru na ametangaza kujiunga na dini ya Kikristo.

default

Watu wa eneo la Mathare jijini Nairobi walilazimika kuvunja makaazi yao wakati wa mapigano baina ya polisi na kikundi cha Mungiki hapo Juni,2007.

Grace Kabogo alizungumza na Cyrus Jirongo, kiongozi wa chama cha siasa cha KADDU na Mbunge wa Jimbo la Lugari, Kenya, na alianza kumuuliza nini maoni yake kuhusu uamuzi huo wa mahakama wa kumuachia huru kiongozi huyo wa Mungiki.

Mtayarishi: Grace Patricia

Mhariri: M.Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com