1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kinagaubaga: Zanzibar kufunguka tena kwa biashara

Mohammed Khelef
28 Machi 2023

Zanzibar ina historia ya kuwa kituo kikubwa cha biashara kwa Afrika Mashariki na Kati lakini imepoteza nafasi hiyo kwa muda mrefu. Sasa serikali ya visiwa hivyo imeamua kurejesha hadhi hiyo ya kihistoria na Mohammed Khelef anazungumza na Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda wa Zanzibar, Omar Said Shaaban, juu ya hilo.

https://p.dw.com/p/4PN1I