KHARTOUM: Mapigano kusini mwa Sudan yameua watu 150 | Habari za Ulimwengu | DW | 03.12.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

KHARTOUM: Mapigano kusini mwa Sudan yameua watu 150

Mjumbe wa Umoja wa Mataifa amesema,zaidi ya watu 150 wameuawa na wengine 400 wamejeruhiwa vibaya nchini Sudan katika mapigano ya siku kadhaa,kati ya vikosi vya serikali na waasi katika mji wa kusini Malakal.Tume ya Umoja wa Mataifa nchini Sudan imeonya kuwa maiti zinazoelea katika Mto wa Nile zinachafua chanzo cha maji ya kunywa ya mji huo.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com