Kenya yakumbwa na hofu inaposogelea uchaguzi Mkuu | Media Center | DW | 01.08.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Kenya yakumbwa na hofu inaposogelea uchaguzi Mkuu

Kenya yaingiwa na wasiwasi katika wiki ya mwisho ya kampeni, Mkurugenzi wa mawasiliano wa Ikulu ya White House Anthony Scaramucci afutwa kazi baada ya kuhudumu kwa siku 10, na Polisi wamwagwa nchini Liberia wakati kampeni za urais zikianza. Papo kwa Papo: 01.08.2017

Tazama vidio 01:36
Sasa moja kwa moja
dakika (0)