Kauli ya kibaguzi ya Magufuli yaibua hisia Tanzania | Media Center | DW | 12.10.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Kauli ya kibaguzi ya Magufuli yaibua hisia Tanzania

Rais John Magufuli katika kampeni huko Dar es Salaam aliwataka wapiga kura kumchagua mgombea mmoja mwanamke kwa kusifia weupe wake. Matamshi yake yametafsiriwa kama ubaguzi dhidi ya wanawake weusi. Sikiliza mahojiano kati ya Babu Abdalla na mkurugenzi wa shirika la kutetea haki za wanawake nchini Tanzania TGNP Hellen Kijo Bisimba.

Sikiliza sauti 03:05