Juhudi za kuwavutia watalii zaidi Tanzania | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 01.10.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Juhudi za kuwavutia watalii zaidi Tanzania

Mitizamo ya kiutamaduni inatizamiwa kupewa kipaumbele zaidi kwa siku zijazo ili kuwavutia wageni wengi zaidi. Lilian Kisasa ni moja ya maafisa wa masoko anaeleza kwa kina kwanini vivutio vya kiutamaduni vinatumika katika kipindi hiki cha kurudisha hali ya zamani kabla ya ugonjwa wa covid19.