SiasaAfrikaJe, Upinzani unaweza kuongoza dola Afrika Mashariki?To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaAfrikaSaumu Njama Suleiman Mwiru30.09.202530 Septemba 2025Hivi karibuni kabisa tumeshuhudia wimbi jipya barani Afrika ambalo linaonyesha baadhi ya mataifa ya Afrika, Dola imegeukia upande wa upinzani. Je,Afrika Mashariki itawezekana kwa upinzani kupata nafasi hiyo?https://p.dw.com/p/51HicMatangazo