1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hatma ya Uingereza baada ya Brexit

Zainab Aziz Salim-Mtullya5 Februari 2020

Uingereza imejiondoa rasmi kwenye Umoja wa Ulaya baada ya miaka 47. Hayo ni matokeo ya kura ya maoni ya mwaka 2016 ambapo asilimia 51.9 ya wapiga kura walitaka nchi yao ijiondoe kutoka kwenye Umoja wa Ulaya na asilimia 48.1 walitaka Uingereza iendelee kuwa mwanachama wa jumuiya hiyo. Sikiliza Makala ya Mwangaza wa Ulaya.

https://p.dw.com/p/3XHzp