Hali ya Tarime Mjini baada ya watu wawili kuuwawa | Media Center | DW | 28.10.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Hali ya Tarime Mjini baada ya watu wawili kuuwawa

Eneo la Tarime Mkoani Mara linatazwamwa kama ngome ya chama cha upinzani CHADEMA, na jana shirika la habari la AP liliripoti kutokea mauwaji ya watu wawili, pamoja na suala hilo Sudi Mnette amezungumza na mgombea ubunge wa jimbo la Tarime vijijini kwa tiketi ya CHADEMA John Heche.

Sikiliza sauti 03:20