1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dr. Mwinyi amteua Maalim Seif kuwa makamu wa rais Zanzibar

Rashid Chilumba7 Desemba 2020

Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi jana amemteua mwanasiasa wa siku nyingi kutoka chama cha upinzani ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad kuwa makamu wa kwanza wa rais saa chache tangu kamati kuu ya ACT Wazalendo ilipoazimia kujiunga na serikali ya umoja wa kitaifa visiwani humo.

https://p.dw.com/p/3mJbg

Uamuzi wa ACT Wazalendo umetolewa miezi kadhaa tangu kufanyika uchaguzi visiwani Zanzibar ambao upinzani ulidai kwamba ulitawaliwa na udanganyifu na kukataa kuyatambua matokeo yake.


Rashid Chilumba amezungumza na katibu mkuu wa ACT Wazalendo Addo Shaibu na kwanza amemuuliza uamuzi huo unamaanisha chama hicho sasa kinayatambua matokeo ya uchaguzi na serikali visiwani zanzibar? Sikiliza mahojiano.