DOHA: Michezo ya Asia imefunguliwa Doha | Habari za Ulimwengu | DW | 02.12.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

DOHA: Michezo ya Asia imefunguliwa Doha

Schalke yaizaba Stuttgart bao 1:0

Schalke yaizaba Stuttgart bao 1:0

Nchini Qatar,zaidi ya washabiki 40,000 wa spoti,walikusanyika kwenye uwanja wa michezo mjini Doha kuhudhuria sherehe ya kufunguliwa michezo ya 15 ya Asia katika mji mkuu Doha.Kama wanariadha 10,000 kutoka nchi 45 watashindana katika michezo hiyo,siku 16 zijazo.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com