1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Olimpiki

Michezo ya sasa ya Olimpiki ndiyo tukio kuu la kimataifa linalohusisha michezo mbalimbali, ambao maelfu ya wanamichezo kutoka zaidi ya mataifa 200 hushiriki katika mashindano tofauti.

Michezo ya Olimpiki hufanyika kila baada ya miaka minne. Michezo ya majira ya joto na baridi inatofautiana kwa miaka miwili: Michezo ya majira ya baridi ya mwaka 2014 ilifanyika mjini Sochi, Urusi. Michezo ijayo ya majira ya joto itafanyika katika mji wa Rio de Janeiro, Brazil, mwaka 2016. Ukurasa huu unakukusanyia maudhui zote za DW kuhusu michezo ya Olimpiki.

Onesha makala zaidi