You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Vita vya Marekani-Israel na Iran
Mlipuko wa Ugonjwa wa Ebola
Kombe la Dunia la FIFA 2026
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Cuba
Taifa la visiwa kwenye Bahari ya Karibiani linaloongozwa kwa mfumo wa kisoshalisti.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Maduro asema Venezuela haitasalimu amri kutokana na vitisho
Marekani yasema utawala wa Maduro unalazimika kushiriki kwa dhati kwenye mazungumzo na wapinzani.
Maandamano huko yarindima Cuba
Serikali ya Cuba yasema Marekani inaendeleza sera za kuibana kiuchumi
Taarifa ya Habari Asubuhi 14.07.2021
Idadi ya watu waliokufa kutokana na ghasia nchini Afrika Kusini imefikia 72//Umoja wa Ulaya umeidhinisha mpango wa kuufufua uchumi kwa ajili ya nchi 12 wanachama zilizoathiriwa na janga la virusi vya corona// Shirika la Umoja wa Mataifa la Wahamiaji limesema idadi ya wahamiaji na wakimbizi waliokufa wakati wakijaribu kuingia Ulaya kupitia baharini imeongezeka mara mbili mwaka huu
Biden awania kulifunga gereza la Guantanamo Bay
Serikali ya Marekani kupitia idara ya usalama wa taifa inatathmini mikakati ya kulifunga gereza la Giantanamo Bay.
Trump airudisha Cuba kati ya nchi zinazofadhili ugaidi
Utawala wa Trump waiweka Cuba kuwa nchi zinazofadhili ugaidi
Taarifa ya habari za Asubuhi 12.01.2021
VIDOKEZO: Wademocrat wafungua rasmi mashtaka bungeni kumuondoa Trump madarakani.// FBI wakionya kuhusu mipango ya maandamano. // Uganda yaishutumu Facebook kwa kuingilia uchaguzi wa rais, baada ya kampuni hiyo kufunga akaunti kadhaa zinazohusishwa na serikali kwa kampeni.// Shirika la Afya Duniani laonya kuwa huenda kinga imara dhidi ya COVID-19 isipatikane mwaka huu licha ya chanjo
China, Urusi na Cuba zapata viti Baraza la Haki za Binadamu
lakini Saudi Arabia ilishindwa kuchaguliwa tena kwenye baraza hilo
Cuba na Marekani: Marafiki walio na nyuso mbili
Na rais Donald Trump ameonesha azma yake ya kurejesha enzi za uhasama.
Matangazo ya Asubuhi - 29.09.2019
Zoezi la kuhesabu kura limeanza nchini Afghanistan baada ya uchaguzi wa siku ya Jumamosi.
Taarifa ya Habari za Asubuhi - 29.09.2019
Zoezi la kuhesabu kura limeanza nchini Afghanistan baada ya uchaguzi wa siku ya Jumamosi.
Taarifa ya habari ya asubuhi: 20.09.2019
Pendekezo la waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu la serikali ya muungano lakataliwa, Marekani yatangaza kuwafurusha wajumbe wawili wa Cuba na shirika la UNICEF lasema zaidi ya watoto milioni 29 walizaliwa katika maeneo yaliokuwa na mizozo mwaka jana.
Cuba yaadhimisha miaka 60 ya mapinduzi
Cuba yaadhimisha miaka 60 ya mapinduzi tangu ilipompindua kiongozi wa kiimla, Fulgencio Batista
Uturuki na Mageuzi ya katiba Cuba Magazetini
Uturuki na Mageuzi ya katiba Cuba Magazetini
Cuba waanza kujadili Katiba
Raia wa Cuba wameanza kujadili katiba mpya ambayo inaondoa kipengele kinachoitaja Cuba kuwa taifa la kikomunisti.
Matangazo ya asubuhi, saa 12:08 (Afrika Mashariki)
Taarifa ya Habari, Saa 12:00 asubuhi (Afrika Mashariki)
Cuba imeahidi kufanya uchunguzi kubaini sababu ya ajali
Watu watatu walionusurika ajali hiyo bado wako mahtuti
Magazetini: Ziara ya Macron Marekani
Ziara ya Macron Washington , chuki dhidi ya Wayahudi na rais mpya wa Cuba
Diaz-Canel ni Rais Mpya wa Cuba
Cuba imempata rais mpya, Miguel Diaz-Canel. Rais huyu anachukua nafasi ya Raoul Castro, ambaye yeye na kaka yake Fidel wameiongoza Cuba kwa miongo sita. Diaz-Canel ameahidi kuendeleza siasa za kisoshalisti zilizoasisiwa na Castro. Papo kwa Papo.
Maoni: Mwanzo mpya kwa Cuba?
Diaz-Canel Bermudez ni kada wa chama tawala cha kikomunisti na mtu wa karibu sana na familia ya akina Castro.
Cuba kupata rais mpya
Diaz-Canel, mwenye umri wa miaka 57, anaonekana kama kada wa Chama cha Kikomunisti, ambacho kikatiba kiko pekee.
Muuaji wa Las Vegas alikuwa na bunduki 47
Muuaji wa watu 59 Las Vegas alikuwa na bunduki 47 na wapinzani Togo waandamana kumtaka Rais Faure Gnassingbe kuondoka.
Matangazo ya jioni 17.06.2017
Bendera zapepea nusu mlingoti huku Ujerumani ikiomboleza kifo cha kansela wa zamani Helmut Kohl. Kansela wa Ujerumani Angela Merkel akutana na Papa Francis mjini Vatican kuelekea mkutano wa kielele wa kundi la G20. Na, Umoja wa Afrika wazisihi Dhibouti na Eritrea kujizuia katika mvutano unaohusu ardhi ya Dumeira.
Trump arudisha nyuma baadhi ya sera za Obama kwa Cuba
Trump arudisha nyuma baadhi ya sera za Obama kwa Cuba
Matangazo ya mchana 17.06.2017
Viongozi wa dunia waomboleza kifo cha Kansela wa zamani wa Ujerumani Helmut Kohl. Hasira yatokota jijini London huku idadi ya vifo yafikia 30 baada ya jengo kuwaka moto. Cuba yapinga hatua ya Rais Donald Trump kuimarisha vikwazo vya biashara na usafiri dhidi ya nchi hiyo.
Trump kutangaza sera mpya dhidi ya Cuba
Rais wa Marekani, Donald Trump leo anatarajiwa kutangaza mabadiliko ya sera kuhusu Cuba.
04.12.2016 Matangazo ya jioni
Mazishi ya Fidel Castrol yawa ya kawaida
Castro azikwa, Cuba yaingia kipindi baada ya Fidel
Wacuba walianza hatua za mazishi ya kiongozi wao wa mapinduzi Fidel Castro Jumapili(04.12.2016)
04.12.2016- Matangazo ya mchana
Mazishi ya Fidel Castrol kufanyika leo
Mashabiki wa klabu ya Chapecoense waomboleza
Mashabiki wa klabu ya Chapecoense ya nchini Brazil wakusanyika kwa maombolezo. Raia wa Cuba wanaomboleza kifo cha kiongozi wao Fidel Castro. Na Bunge la Korea Kusini linatarajiwa kupiga kura ya kumshitaki rais wa nchi hiyo Park Geun-hye. Papo kwa Papo 30.11.2016
Majivu ya Fidel Castro kusafirishwa Santiago
Maelfu kwa maelfu ya wacuba wanatarajiwa kuwa barabarani kushuhudia majivu hayo yatakapokuwa yakisafirishwa
Viongozi kuhudhuria ibada ya mazishi ya Castro
Viongozi mbalimbali wa dunia na wananchi wanatoa heshima zao za mwisho kwa mwendazake Fidel Castro
Cuba yajitayarisha kwa kipindi cha maombolezi
Wacuba wanajitayarisha kwa kipindi cha maombolezi kitakachokuwa hadi Desemba 4.
Kifo cha Fidel Castro: Dunia yatoa rambirambi
Dunia yatoa rambirambi kufuatia kifo cha Fidel Castro
Fidel Castro aaga dunia akiwa na miaka 90
Mwanamapinduzi Fidel Castro afariki akiwa na umri wa miaka 90
26.11.2016 Matangazo ya mchana
Katika matangazo yetu: Fidel Castro afariki dunia//Kura kuhesabiwa upya katika majimbo matatu nchini Marekani//Sudan Kusini yakubali kupelekwa majeshi Umoja wa mataifa ya kulinda amani nchini humo
Fidel Castro: Shujaa na Kiongozi wa Kiimla
Mwisho wa enzi: Fidel Castro afariki akiwa na miaka 90
Colombia yatangaza makubaliano ya kihistoria ya amani
Colombia yatangaza makubaliano ya kihistoria ya amani
Obama, Castro wasifu uhusiano mpya baina yao
Obama, Catro wasifu "siku mpya" katika uhusiano wa Marekani na Cuba
Rais Obama akutana na Rais Castro wa Cuba
Obama anafanya ziara ya kihistoria katika kisiwa cha Cuba, ya kwanza kufanywa na rais Marekani baada ya miaka 90
Obama katika ziara ya kihistoria Cuba
Barack Obama ni rais wa kwanza wa Marekani kuizuru Cuba katika miaka 88
Obama anafanya ziara ya kwanza Cuba baada ya miongo saba
Ziara ya Obama inatarajiwa kuimarisha zaidi uhusiano wa Cuba na Marekani
Ghana yawapa hifadhi wafungwa wa Guantanamo
Wanaume wawili waliokamatwa nchini Afghanistan na kuzuiliwa katika gereza la Marekani la Guantanamo liliko nchini Cuba, kwa miaka14 bila kufunguliwa mashtaka wameachiliwa huru na kupelekwa Ghana kuanza maisha mapya.
Papa kuendelea na ziara yake nchini Marekani
Papa kuendelea na ziara yake nchini Marekani
Papa Francis kuanza ziara Marekani leo
Ahimiza maridhiano kifamilia na kimataifa
Ubalozi wa Marekani wafunguliwa upya Cuba
Mahusiano ya Marekani na Cuba yayzidi kuimatika baada ya miongo kadhaa ya uhasama
Marekani na Cuba zarejesha mahusiano
Marekani na Cuba leo wamerejesha mahusiano ya kidiplomasia baina yao, baada ya miongo mitano ya uhasama
Hali nchini Ugiriki
Matumaini mema kati ya Marekani na Cuba
Steinmeier anaanza ziara Cuba
Waziri wa Mambo ya Nje ya Ujerumani Frank-Walter Steinmeier leo anatarajiwa kuanza ziara yake ya siku mbili Cuba
19.04.2015 Matangazo ya Mchana
-Wakimbizi 700 wazama Mediterenia -Mapigano yaendelea Yemen Onyo kwa uchumi wa Dunia Uoinzani na uchaguzi Cuba
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 3
Ukurasa unaofuatia