Blinken aanza ziara yake ya kwanza Afrika | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 17.11.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Blinken aanza ziara yake ya kwanza Afrika

Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Marekani, Antony Blinken yuko Kenya, katika ziara ya Afrika inayolenga kuhimiza ulinzi wa demokrasia, siasa jumuishi, kuchana na utengano wa kikabilia. Sudi Mnette amezungumza na mchambuzi wa siasa za Kenya Martin Oloo, kuhusu ziara hiyo ya Blinken ambayo pia itamfikisha Nigeria na Senegal

Sikiliza sauti 02:44