Barua kutoka Dar | Matukio ya Afrika | DW | 21.05.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Barua kutoka Dar

Tanzania inaundwa na pande mbili zilizoungana wa mwaka 1964, Tanganyika iliyopata uhuru wake kutoka kwa Muingereza mwaka 1961 na Zanzibar iliyopata uhuru wake mwaka 1963 na kufanya mapinduzi yake mwaka 1964.

Kwa pamoja, Tanzania inatambulika kama kisiwa cha amani kwenye eneo la Afrika ya Mashariki na Kati, na inasifiwa kwa mchango wake mkubwa kwenye historia ya ukombozi wa mataifa kadhaa ya kusini mwa Afrika na pia ushawishi wake kwenye eneo la Maziwa Makuu.

Katika safu hii, tunakuletea barua kutoka kwa mwandishi wetu wa Dar es Salaam, Tanzania, Anaclet Rwegayura, zinazotoa uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa, kiuchumi na kijamii kwa mtazamo wake.

DW inapendekeza