1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Asubuhi: Taarifa ya Habari za ulimwengu Novemba 20, 2021

V2 / S12S20 Novemba 2021

Waziri wa Afya wa Ujerumani asema hali ya maambukizi ya virusi vya corona imezidi kuwa mbaya zaidi nchini humo.// Mamia ya Walibya waandamana kupinga Halifa Haftar na mwanaye Gaddafi kutaka kuwania urais nchini humo.// Iran yatoa wito wa kuondolewa siasa katika Shirika la Umoja wa Mataifa la Kudhibiti matumizi ya Nyuklia.

https://p.dw.com/p/43HFB