ANKARA:Karzai na Musharraf kukutana nchini Uturuki leo | Habari za Ulimwengu | DW | 29.04.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

ANKARA:Karzai na Musharraf kukutana nchini Uturuki leo


Rais Hamid Karzai wa Afghanistan anatarajiwa kuwasili nchini Uturuki leo ambapo atakutana na rais Pervez Musharraf wa Pakistan ili kujadili mbinu za ufanisi za kupambanna na magaidi.

Viongozi hao pia watazungumzia njia za kuratibu mbinu za kuleta amani na utengemavu katika eneo lao.

Marais hao wamekuwa wanalaumiana hivi karibuni juu ya suala la magaidi.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com