1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika katika Magazeti ya Ujerumani

Oumilkheir Hamidou30 Novemba 2018

Sikiliza Kipindi cha Afrika katika Magazeti ya Ujerumani ambapo baadhi ya mada ni pamoja na Vinyago vya Afrika, matumizi ya nguvu ya Boko Haram nchini Nigeria na mzozo kati ya wachimba dhahabu na wanajeshi wa Tchad katika milima ya Tibesti. Msimulizi ni Oumilkheir Hamidou.

https://p.dw.com/p/39Dwm