Tunatumia 'cookies' ili kuboresha huduma zetu kwako. Maelezo zaidi yanaweza kupatikana katika sera yetu ya faragha.
Sikiliza hapa taarifa ya habari za Asubuhi ya Leo.
Tuma Facebook Twitter Whatsapp Web EMail Telegram Facebook Messenger Web
Kiungo https://p.dw.com/p/3lwlH
Rais Trump amebaki na siku moja tu akiondoka Madarakani. Hatua za dakika za mwisho za utawala wake nchini Yemen, Iraq na Afrika Kaskazini zimekosolewa vikali. Ni jinsi gani maamuzi hayo yanaweza kubatilishwa kwa haraka?
Iran imetangaza kuanza kurutubisha madini yake ya Uranium kwenye kituo cha Fordow kwa asilimia 20. Hatua ambayo hadi kufikia sasa itakuwa ni ukiukaji mkubwa wa makubaliano ya kimataifa ya nyuklia ya mwaka 2015.
Maelfu ya wafuasi wa makundi yanayoegemea Iran wameandamana katika kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu kuuawa kwa Jenerali wa jeshi la Iran Qassem Soleimani katika shambulizi lililofanywa na Marekani.
Waziri wa mambo ya kigeni wa Iran Javad Zarif amesema kuna ushahidi unaoashiria uhusika wa Israel katika mauaji ya Mohsen Fakhrizade lakini haikuwa wazi ni nani hasa aliyefanya shambulizi hilo.