1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

16.07.2017: Matangazo ya mchana

Isaac Gamba
16 Julai 2017

Tuliyo nayo ni pamoja na : Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan aapa kuwakata vichwa wasaliti dhidi ya serikali yake// Uingereza yahitaji kipindi cha mpito kuhusiana na Brexit// Watu wanane wafariki dunia baada ya mkanyagano kutokea kwenye uwanja wa michezo mjini Dakar Senegal

https://p.dw.com/p/2gcpM