Zuio la Trump kwa waliobadilisha jinsia lazua mjadala | Media Center | DW | 27.07.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Zuio la Trump kwa waliobadilisha jinsia lazua mjadala

Tamko la Trump kuwazuia waliobadili jinsia kujiunga na jeshi la Marekani lawagawa maveterani ndani ya Congress. Kiasi ya watoto Milioni mbili(2) wanahitaji misaada ya kiutu nchini Yemen na Waumini wa kiislamu waomba kurejea kwenye msikiti wa al-Aqsa. Papo kwa Papo: 27.07.2017.

Tazama vidio 01:35
Sasa moja kwa moja
dakika (0)