1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waokoaji wapoteza matumaini mkasa wa ajali Marekani

27 Machi 2024

Wazamiaji katika mkasa wa ajali nchini Marekani wamepoteza matumaini ya kuwapata waathirika zaidi, wakati hayo yakiendelea wachunguzi wa ajali hiyo wamepata kinasa sauti, ambacho kitachangia kupatikana kwa taarifa ikiwa mafuta machafu yalisababisha kukatika kwa umeme kwenye meli hiyo iliopoteza mwelekeo.

https://p.dw.com/p/4eBGF