1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kilio cha Waandishi Habari huko Gaza

13 Novemba 2023

Tangu kuanza mashambulizi ya Israel huko Ukanda wa Gaza, kazi ya uandishi habari imekuwa ya kutisha. Hadi sasa waandishi habari 37 wamepoteza maisha wakiwa kazini kuripoti mzozo huo. Kila uchao, mtu anaweza kusema waandishi habari wa Ukanda wa Gaza wanakwenda kazini wakiwa wameshika "roho zao mkononi" hawajui muda wala saa ya kupoteza maisha.

https://p.dw.com/p/4YkW1
Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio