1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanyamapori hatarini

Sylvia Mwehozi
2 Novemba 2021

Wanyamapori nchini Tanzania na Kenya wanakabiliwa na kitisho kutokana na mabadiliko ya Tabianchi. Idadi ya nyumbu wanaohama imepungua mwaka huu. #vijanamubashara

https://p.dw.com/p/42TEX