″Wanaoteuliwa kinyume na matarajio ya watu hawaendi kufanya kazi″ | Matukio ya Afrika | DW | 19.11.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

"Wanaoteuliwa kinyume na matarajio ya watu hawaendi kufanya kazi"

Waziri Mkuu mpya wa Tanzania, Kassim Majaliwa, hajawahi kushikilia wadhifa mkubwa kitaifa. Kutokana na hali hiyo, hakuwa tegemeo la wengi kupewa nafasi ya uwaziri mkuu. Mchambuzi Julius Mtatiro atoa maoni yake.

Sikiliza sauti 03:00

Julius Mtatiro katika mahojiano na Daniel Gakuba

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com