Vikosi vya Australia kuondoshwa Irak hatua kwa hatua | Habari za Ulimwengu | DW | 30.11.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Vikosi vya Australia kuondoshwa Irak hatua kwa hatua

Australia inatazamia kuwarejesha nyumbani kama wanajeshi 550 kutoka Irak ifikapo katikati ya mwaka 2008.Hivi sasa Australia ina wanajeshi 1,500 nchini Irak,kama sehemu ya vikosi vya kimataifa vinavyoongozwa na Marekani.

Waziri Mkuu mteule Kevin Rudd wakati wa kampeni ya uchaguzi,aliahidi kuwarejesha nyumbani wanajeshi hao hatua kwa hatua.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com