Upinzani Kenya wasema bila tume mpya hakuna uchaguzi | Media Center | DW | 04.09.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Upinzani Kenya wasema bila tume mpya hakuna uchaguzi

Upinzani unasema hauna imani na tume ya uchaguzi iliyopo, Korea Kaskazini yarusha kombora jengine, Kansela Merkel achuwana na Martin Schulz kwenye mdahalo na viongozi wakuu wa BRICS wakutana nchini China. Hayo na mengine ni kwenye Papo kwa Papo leo hii, Septemba 4.

Tazama vidio 02:23
Sasa moja kwa moja
dakika (0)