1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Unyanyasaji wa kijinsia kupitia biashara ya samaki kwa wanawake

9 Machi 2022

Wanawake wachuuzi wa samaki katika Ziwa Tanganyika nchini Tanzania, wanaendelea kukumbana na unyanyasaji, huku wakitumia miili yao kupata bidhaa za samaki kutoka kwa wavuvi wa ziwa hilo. Hali hiyo pia inaelezwa kuchangia kuenea kwa virusi vya Ukimwi na maambukizi ya magonjwa ya zinaa.

https://p.dw.com/p/48Cyo