1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ungana na Sylvia Mwehozi katika Afrika Wiki hii

Sylvia Mwehozi18 Juni 2021

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan azungumza na vijana mjini Mwanza. +++Uganda yaripoti ongezeko la vifo vinavyotokana na Covid19. +++Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, mshirika wa karibu wa rais Tshisekedi Vital Kamerhe ahukumiwa miaka 13 jela. ++++Zambia yampoteza shujaa na mwasisi wa taifa hilo Kenneth kaunda.

https://p.dw.com/p/3vBUz