You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Iran
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Shambulio la Urusi Kharkiv laua watu 10
Shambulio la kombora la Urusi limepiga jengo la makazi mjini Kharkiv na kuua watu 10 wakiwemo watoto wawili.
Mgogoro Hungary na Ukraine ´wapamba moto´
Hungary imesema itawafukuza raia 7 wa Ukraine iliowakamata wakisafiri na kiwango kikubwa cha fedha.
Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya yamkosoa Zelenskiy
Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya imemkosoa vikali Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy kwa kumtishia Waziri Mkuu Orban.
Mkataba wa Umoja wa Mataifa unaojadiliwa wakati migogoro
Mataifa makubwa yamekuwa yakishuhudiwa yakivamia mataifa mengine bila idhini ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
Mvutano bomba la mafuta la Druzhba wazidi makali
Hungary imesema itazuia usafirishaji wa bidhaa zote muhimu kwenda Ukraine kutokana na mvutano wa bomba la mafuta.
Ukraine yaituhumu Hungary kwa utekaji
Ukraine imeituhumu Hungary kuwateka nyara wafanyakazi wake wa benki wakiwa na dola milioni 40 na kilo tisa za dhahabu.
Urusi na Ukraine zabadilishana wafungwa 500 wa vita
Urusi na Ukraine zitabadilishana jumla ya wafungwa 500 wa kivita Alhamis na Ijumaa.
Ukraine yasema Urusi ilishambulia meli yake ya mizigo
Meli hiyo, ilikuwa imebeba mahindi na imepata uharibifu mkubwa na baadhi ya wahudumu wake wamejeruhiwa.
Ukraine yasema Urusi imeishambulia meli ya mizigo ya kiraia
Ukraine inasema Urusi imeshambulia kwa droni meli ya mizigo ya kiraia katika bandari ya Chornomorsk kwenye Bahari Nyeus
Ukraine ndiyo iliyozamisha meli yetu Libya - Urusi
Urusi imeishutumu Ukraine kwa kuizamisha meli yake ya mafuta kwenye pwani ya Libya ikitumia droni za majini.
Urusi yasema Ukraine imeshambulia meli yake Libya
Abiria wote kwenye meli ya Urusi inayodaiwa kushambuliwa na ukraine wameokolewa.
Meli ya gesi ya Urusi yazamishwa
Mvutano katika vita kati ya Urusi na Ukraine umeendelea kuenea nje ya uwanja wa mapigano.
Trump asifu msimamo wa Ujerumani katika vita vya Iran
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Marekani Donald Trump mjini Washington.
Merz na Trump kukutana Ikulu ya White House
Vita vinavyorindima Mashariki ya Kati vipo katika ajenda kuu ya mazungumzo ya viongozi hao wawili.
Zelensky: Mazungumzo ya Kiev na Moscow kuendelea Abu Dhabi
Ikulu ya Urusi Kremlin yasema mazungumzo ya tarehe 5 na 6 mwezi huu mjini Abu Dhabi, ni katika maslahi ya Urusi.
Zelensky atumai mazungumzo yajayo na Urusi yataendelea
Aidha, Zelensky ameunga mkono wazo la kutafuta eneo jingine la mazungumzo kufuatia wasiwasi wa kiusalama.
Ghana: Raia wetu 55 waliuawa katika vita nchini Ukraine
Hii ni idadi inayoongezeka ya nchi kadhaa za Afrika kugundua kuwa raia wake wanarubuniwa kupigana vita vya Ukraine.
Kiwingu cha vita Ukraine chazidi kutanda Afrika
Raia wa Afrika wahusishwa vita vya Ukraine, uchunguzi waanza.
Zelensky atarajia mazungumzo mapema Machi Abu Dhabi
Zelensky atarajia mkutano Abu Dhabi kumaliza vita na Urusi.
Urusi na Ukraine zashambuliana huku mazungumzo yakifanyika
Urusi yasema haina haraka kufikia makubaliano huku Ukraine ikiomba msaada zaidi wa kijeshi.
Urusi yashambulia Kiev huku wapatanishi wakikutana Geneva
Mashambulizi hayo yametokea wakati maafisa wa Marekani na Ukraine wakikutana Geneva, kwa mazungumzo mapya kumaliza vita.
Mshukiwa anayelaghai Wakenya kwenda vitani Ukraine adakwa
Festus Omwamba amekamatwa kwa tuhuma za kujihusisha na biashara haramu ya binadamu katika mji wa Moyale.
Mshukiwa anayedaiwa kuwarubuni Wakenya kwenda Urusi akamatwa
Festus Omwamba amekamatwa kwa tuhuma za kujihusisha na biashara haramu ya binadamu katika mji wa Moyale.
Milipuko yatikisa Kyiv baada ya tahadhari ya anga
Milipuko kadhaa yarindima Kyiv na miji mingine ya Ukraine baada ya tahadhari ya mashambulizi ya anga.
Merz atoa wito wa uhusiano wa haki na wazi na China
Merz alipokutana na viongozi wa juu wa China Merz alitoa wito wa ushirikiano wakati nafasi itakapopatikana:
Baraza Kuu UN lataka amani, vita visitishwe haraka Ukraine
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio linalotaka kusitishwa mara moja kati ya Urusi na Ukraine.
Merz yuko China kujadili, Ulinzi, uchumi na vita vya Ukraine
Ziara hiyo pia inafanyika wakati uchumi wa Ujerumani ulio mkubwa zaidi barani Ulaya ukitikisika.
Baraza Kuu la UN lapitisha azimio la kusitisha vita Ukraine
Wakati azimio hilo likiidhinishwa, watu wanne wameuawa kusini mwa Ukraine baada ya Urusi kuvamia eneo la Zaporizhzhya.
Merz: 'Hatma ya Ukraine ni hatma yetu' sote
Ujerumani yasema rais wa Marekani Donald Trump ni lazima akate usuhuba na mwenzake wa Urusi Vladimir Putin.
Merz aenda China kufanya mazungumzo na Rais Xi
Kansela Friedrich Merz anaondoka Jumanne kwenda China kwa ziara yake ya kwanza tangu alipokuwa kansela mwaka uliopita.
Urusi yakiri malengo yake Ukraine hayajafikiwa
Urusi imekiri malengo yake bado hayajafikiwa nchini Ukraine lakini imeapa kuendelea na vita hadi hapo itakapoyatimiza.
Zelensky asema Putin ameshindwa katika vita vyake Ukraine
Urusi iliivamia kikamilifu Ukraine Februari 24, 2022 na kuibua vita vikubwa barani Ulaya tangu vile vya WW2.
Ukraine yafanya kumbukumbu ya miaka 4 ya vita vya Urusi
Zelensky ameapa kamwe nchi yake haitausaliti muhanga wa watu wake wanaokabiliana na Urusi.
EU yashindwa kukubaliana kuhusu vikwazo vipya dhidi ya Urusi
Hungary hasa iliendelea kuupinga mpango huo ulioimarishwa wa vikwazo dhidi ya Urusi pamoja na mkopo wa mabilioni.
Miaka minne ya vita vya Urusi nchini Ukraine
Rais wa Halmashauri Kuu ya Ulaya Ursula von der Leyen na Rais wa Baraza hilo António Costa wanatarajiwa Kiev Jumanne.
EU yajadili mpango wa kuipatia msaada mpya Ukraine
Hungary imekasirishwa na hatua ya kufungwa kwa bomba la mafuta la Druzhba kutoka Urusi
Ulaya yaendelea kuisaidia Ukraine, kuiadhibu Urusi
Benki ya Dunia inasema Kiev inahitaji takribani dola bilioni 600 kujijenga upya kutokana na vita hivyo
Eu wajadili kuipatia mkopo mpya Ukraine
Mzozo kati ya Ukraine na Urusi watimiza miaka minne mnamo siku ya Jumanne, 24.02.2026
Zelensky: Putin ameanzisha Vita vya Tatu vya Dunia
Asema nchi yake haitakuwa kikwazo cha kupatikana amani kwenye duru nyengine ya mazungumzo yanayosimamiwa na Marekani.
Mashambulizi ya Urusi yaathiri nishati na reli kote Ukraine
Mashambulizi hayo yanajiri siku mbili tu kabla ya kutimia miaka minne ya uvamizi kamili wa Moscow nchini Ukraine.
Hungary kupinga vikwazo vya EU dhidi ya Urusi
Ulaya inajitayarisha na duru ya 20 ya vikwazo dhidi ya Urusi kutokana na vita vyake kwa jirani yake Ukraine.
Urusi yanedelea na mashambulizi yake Ukraine
Uharibifu mkubwa wa Mali umeripotiwa pia kutokana na shambulizi hilo ikiwemo majumba kuporomoka.
Gambia: Raia wetu wajikuta katika vita na kupoteza maisha
Hii ni baada ya mataifa kadhaa ya kiafrika kusema raia wao wanaingizwa jeshini Urusi
Ukraine yashambulia Jamhuri ya Udmurtia nchini Urusi
Watu 11 walijeruhiwa katika shambulizi la Ukraine ndani ya Jamhuri ya Udmurtia.
Ubalozi wa Urusi Kenya wakanusha kusajili Wakenya jeshini
Ubalozi wa Urusi wasema raia wa kigeni wanaweza kujiunga na jeshi lake kwa hiari.
Urusi yakana kuwasajili wapiganaji kutoka Afrika
Urusi imesikitishwa na ripoti zinazoihusisha na njama ya kuwalaghai Wakenya kujiunga na vikosi vyake.
Merz kujadili vita vya Ukraine wakati wa ziara yake China
Sebastian Hille hakutoa maelezo zaidi juu ya ziara hiyo.
Urusi imewapeleka zaidi ya Wakenya 1,000 kupigana Ukraine
Uchunguzi wa pamoja ulifanywa na Idara ya Kitaifa ya Ujasusi ya Kenya na Kurugenzi ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai.
Ripoti: Wakenya 1,000 wanatumikishwa vitani Ukraine
Takwimu hizo ni kwa mujibu wa ripoti ya kijasusi iliyowasilishwa bungeni nchini Kenya namna Urusi inavyosajili Wakenya.
Zelenskiy akosoa matokeo ya mkutano wa Geneva
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy amekosoa matokeo ya mazungumzo ya siku mbili mjini Geneva kati ya Ukraine na Urusi.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 5 wa 98
Ukurasa unaofuatia