1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ukaribu wa Tundu Lissu na Zitto Kabwe wazusha mazungumzo

Khelef Mohammed Mohammed9 Septemba 2019

Katika Kinagaubaga, tunaangazia mazungumzo ambayo yamekuwa yakiendelea kwa wiki kadhaa nchini Tanzania kuhusu uwezekano wa kuwepo ushirikiano wa kisiasa kati ya Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo na Tundu Lissu. Je kuna jambo kama hilo au ni maneno tu? Mohamed Khelef amezungumza na viongozi hao wawili. Hebu sikiliza.

https://p.dw.com/p/3PIEG