Ujerumani yatuma wanajeshi Ureno kusaidia kukabili COVID-19 | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 04.02.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Ujerumani yatuma wanajeshi Ureno kusaidia kukabili COVID-19

Wizara ya ulinzi ya Ujerumani imetuma maafisa wa afya na vifaa vya matibabu nchini Ureno, ambako vyumba vya wagonjwa mahututi vimelemewa baada ya kuongezeka kwa maambukizi ya virusi vya corona.

Tazama vidio 01:51